Sunday, December 21, 2008

ARSENAL,LIVERPOOL NGUVU SAWA


Timu ya arsenal imeshindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kutoka sare na Liverpool bao 1-1.Magoli yote yalifungwa kipindi cha kwanza yakiwekwa kimiani na Robi van Persie na Robbie Keane.Adebayor wa Arsenal alipewa kadi nyekundu na kuifanya arsenal kucheza pungufu kwa kipindi kirefu cha kipindi cha pili.Kwa matokeo hayo,arsenal imeendelea kushika nafasi ya tano kwa pointi 31 na Liverpool inaendelea kuongoza kwa pointi 39.

No comments:

Followers