Asilimia 80.73 ya wanafunzi 433,260 waliofaulu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za serikali,ambapo wasichana ni 188,460(82.13%)na wavulana ni 244,800(79.69%).Akitangaza matokeo hayo,waziri wa elimu Bw.Jumanne Maghembe alisema kati ya wanafunzi wote 1,017,967 sawa na asilima 97.51 waliondikishwa walifanya mtihani huo mwaka huu na wanafunzi 536,672 sawa na asilimia 52.73
No comments:
Post a Comment