Tuesday, December 16, 2008

MISITU


Miti inayopandwa na serikali ya Israel chini ya Jewish National Fund(JNF).Robo ya israel ni kijani.Mpaka mwaka 2020 jangwa litakuwa limetoweka.Sisi pia tunashauriwa kupanda miti katika maeneo yetu.

No comments:

Followers