
Kisa ni kwamba Bush ameua watu wengi sana irak.amewaacha watu katika hali za ujane na uyatima halafu anakuja irak na kudai eti marekani itaendelea kuwepo irak kwa muda mreeeefu!!! ndipo mwandishi Al-Zaidi akakasirika kwa matambo ya Bush na kumpopoa kwa viatu.tazama picha
No comments:
Post a Comment