JAMANI NI NANI ZAIDI KATI YA VICHWA HIVI?
1. Costantine Magavilla
Yeye ni meneja wa masoko wa Zain.Amekuwa na mafanikio sana kiasi kwamba wateja wa Zain wamekaribia millioni tano.Amesikika sana katika vyombo vya habari
2.Kelvin Twissa
Kinara wa masoko nchini.Creative mind na entrepirse ideas alizonazo,zimemfanya kuheshimika Tanzania kutokana na kuipandisha tiGO toka kusikojulikana mpaka kunakojulikana.Katika mwaka 2006-2007,wakati akiwa meneja masoko wa tiGO,kati ya wateja 10 waliojiunga na mitandao nchini,7 walijiunga na tiGO.Kwa sasa yuko Zain akiwa kama meneja masoko(wateja)
3.Ephraim Mafuru
Mwanamasoko halisi wa Tanzania.Kabla ya kujiunga na vodacom alikuwa TBL kama meneja wa kinywaji cha tusker.Kwa sasa ni mkurugenzi wa masoko wa Vodacom,nafasi ya kwanza ya juu kabisa kushikiliwa na m-bongo katika kampuni hiyo.Unadhani mzungu anaweza kukupa nafasi nyeti kama hiyo bila kuwa mchapa kazi kweli?!!!anafaa
2 comments:
Twissa ni kiboko bwana
Twissa anatisha eti
Post a Comment