Friday, December 19, 2008

ROBINHO NA GARI YA KIFAHARI


Robinho,yule supastaa wa brazil anayeichezea timu ya manchester city amenunua gari ya Limburgini ya dola 340,000
Kwa wiki mchezaji huyo hulipwa mshahara wa dola 320,000.Anaongoza kwa kulipwa pesa nyingi katika wachezaji wanaocheza soka la kulipwa wingereza.

No comments:

Followers