Monday, January 05, 2009

KILIMANJARO STARS YAIFUNGA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR

Tumeshinda!! tumemfunga ndugu yetu wa damu zanzibar kwa mabao 2-1 leo katika michuano ya chalenji huko Uganda.tumepoteza mechi ya kwanza dhidi ya somalia kwa bao 1-0.Sasa tumefufua matumaini ya kuchukua kombe hili ambalo hatujalichukua kwa muda mrefu sasa

No comments:

Followers