Monday, February 09, 2009

HASSANALI NA MAVAZI YA HARUSI

Mbunifu wa mitindo maarufu nchini Mustafa Hassanali akipita na warembo wakiwa kwenye mavazi ya harusi katika shoo iliyojulikana kama Bridal collection katika ukumbi wa Little Theatre Dar Es Salaam wikendi hii

No comments:

Followers