Hapa tuko kwenye kilima kijulikanacho kama TEL-AZEKA ambako Daudi alimgongomelea Goliath kwa jiwe moja tu chini!!hapa ndipo pambano hilo lilifanyika.Mimi(kushoto) nikiwa kama Daudi na mwenzangu(kulia,mkenya)akiwa kama Goliath.nilimtwanga jiwe moja tu...chini kifudi fudi!!!
No comments:
Post a Comment