Tuesday, December 16, 2008

MADONNA AMLIPA GUY RITCHIE DOLA MILLIONI 92

Wanandoa waliotalikiana Guy Ritchie na Madonna wamemalizana rasmi baada ya Madonna kumlipa Guy Ritchie jumla ya dola milioni 92(tshs.billioni mia moja na ushee hivi).
Kiasi hicho ni kikubwa sana kulipwa hivi karibuni kwa watu wanaotalikiana katika wingereza.

No comments:

Followers