Monday, December 22, 2008

HUYU NI MOHAMED DEWJI,TAJIRI SHABIKI WA KUTUPWA WA SOKA

Jamani ushabiki hauna rika.Ushabiki hauna status eti ooh washabiki wa soka ni wale watu wa kipato cha chini!!!nani kakwambia hivyo?!!!mtazame Mohamed Dewji hapo chini,tajiri mwenye mashamba na viwanda vya kumwaga hapa bongo na nje ya bongo,akisakata muziki wakati stars walipokuja bongo toka sudan.Huyu bwana anafaa kuwa waziri wa michezo.

No comments:

Followers