Dr.Felician Kilahama ambaye alikuwa bosi wangu alipokuwa rais wa chama cha wataalam wa misitu Tanzania,akiwa nchini Malaysia wizarani pamoja na Dr.Batilda Buriani,Waziri katika ofisi ya makamu wa rais(mazingira).Dr.Kilahama kwa sasa ni mkurugenzi wa misitu na nyuki katika wizara ya maliasili na utalii.
No comments:
Post a Comment