Jiji la Jerusalem limejengwa kwa mawe tupu.Hakuna matofali wala nini ni mawe tu jiji zima.tena mawe ya huko si sawa na haya ya kwetu huku ambayo ukipiga nyundo moja tu linabomoka,huko ni magumu sana hayabomoki mpaka kwa mashine maalum.na majengo yote ndani ya israel yamejengwa kwa mawe.kama unabisha uende ujionee mwenyewe kwa macho yako mawili.
No comments:
Post a Comment