Tuesday, December 16, 2008

MWANAHARAKATI NA MTOTO WA KIBEDWIN


Nikiwa nimembeba mtoto wa kibedwin katika makazi yao huko Ashkelon.Nadhani mnawajua mabedui.wanahama hama.hawana makazi ya kudumu katika israel.ila sasa wameamua kukaa mahali pamoja na serikali ya huko imeahidi kuwajengea nyumba na makazi ya kudumu iwapo tu watendelea kukaa bila kuhama hama.

No comments:

Followers