Saturday, December 27, 2008

KWA WALE WALIOSOMA KAZIMA SEKONDARI(1992-1997) NA SHYCOM(1996-1999)

Wapenzi wa blog ya mwanaharakati,
Nilipata kusoma Kazima sekondari miaka ya 1992-95 na SHYCOM 1996-1998.Wale wote watakaitembelea blog hii walisoma Kazima na SHYCOM mnaombwa kujiorodhesha kwenye eneo la comments la blog hii,na namba zenu za simu.Tunataka kufanya kitu kwa maendeleo yetu sisi na shule tulizosoma.

Wale wa kazima mnamkumbuka babu?Mwalimu Nzumbi?mama ruoja?na wengineo?
Wale wa SHYCOM mnamkumbuka KARO?Muna na wengineo?leteni stori za enzi hizo!

No comments:

Followers