ACTIVIST/ ENTREPRENEUR
Thursday, December 25, 2008
MAUAJI YA ALBINO MPAKA LINI?!!
Wanaharakati wenzangu,
Heri ya krismasi.Nimekuwa najiuliza mauaji ya albino katika Tanzania ya leo yamechochewa na nini?je ni utajiri kweli?hebu changia mada hii
Picha: albino amekatwa mikono yote!!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Followers
No comments:
Post a Comment