Tuesday, December 23, 2008

MTI HUU UNA UMRI WA MIAKA MIA TANO (500)

Huu ni mtu uko kando kando (kwa nje)ya kisima cha ibrahim katika mji wa Beersheva.Nilipigwa na mshangao kuambiwa na mtunza eneo hilo kuwa mti huu una umri wa miaka 500.Ni mti ambao upepo unapovuma hutoa mruzi(hapa kwetu pia ipo mingi tu)

3 comments:

magessa,bm. said...

Duuuuuu!!!

Anonymous said...

Mti huo una baraka.nadhani ulichukua baadhi ya majani yake.hongera kwa safari katika mji mtakatifu.utuombee

Anonymous said...

EEhhh!!wonderful

Followers