Tuesday, December 16, 2008

AL-ZAIDI AKITUPA VIATU KWA BUSH....


HAPA AL ZAIDI AKIMTUPIA KIATU BWANA BUSH...MUUAJI MKUBWA,MSHENZI MKUBWA..UMEUA WATU WENGI SANA IRAK,UMEWAFANYA KUWA WAJANE,UMEWAFANYA KUWA YATIMA HALAFU UNAKUJA HAPA KUENDELEZA SERA ZAKO ZA KIUAJI!!!MPUUZI KABISA WEEEEE.Ndivyo anaonekana AL-ZAIDI akisema wakati akirusha viatu.

No comments:

Followers