Monday, December 15, 2008

ARSENAL NA LIGI YA UINGEREZA 2008-2009

ndugu wanaharakati,
Hamjambo?maandalizi ya Christmas si mazuri sana maana pesa siku hizi ni ngumu kama jiwe.Uchumi wa kwenye vitabu unapaa,lakini wa mfukoni unaanguka.Mpaka lini mambo haya jamani?
Arsenal inasua sua kwenye ligi yetu ya wingereza.si ile ya akina thierry,pires,vieira nakadhalika.watoto hawana pumzi tena,wanachoka sana,sijui hawapati msosi!!!
Hebu wanaharakati wenzake nisaidieni,tatizo ni nini hasa?
mwanaharakati,
magessa,b.m.

No comments:

Followers