Monday, December 15, 2008

KATIKA KISIMA CHA IBRAHIM

Hapa niko na mbunge wa uganda(kushoto),course coordinator,Shimrit (kati kati) na mimi kulia.nyuma yetu ni kisima kilichochimbwaga na Ibrahim(angalia biblia yako mwanzo 21)

1 comment:

magessa,bm. said...

Wanaharakati nimesahau kuwahabarisha picha hiyo hapo juu.Hapo nilikuwa katika mji wa Beersheba-Israel.nilipata muda wa kupiga picha mbunge wa uganda(mwanaharakati wa akina mama)anaitwa Agness Ogunyu(kushoto),katikati ni course coordinator wetu,Shimritz na kulia ni mwanaharakati wenu bm

Followers