Sunday, December 21, 2008

MANCHESTER UNITED MABINGWA WA DUNIA


Manchester united wametawazwa kuwa mabingwa wa dunia baada ya kuwalaza LDU Quito ya Amerika kusini kwa bao 1-0.Bao hilo lilifungwa na Wayne Rooney.Nemanja Vidic alipewa kadi nyekundu.Manchester imekuwa timu ya kwanza toka wingereza kutwaa taji hilo.

No comments:

Followers