Thursday, December 25, 2008

MAUAJI YA ALBINO MPAKA LINI?!!

Wanaharakati wenzangu,
Heri ya krismasi.Nimekuwa najiuliza mauaji ya albino katika Tanzania ya leo yamechochewa na nini?je ni utajiri kweli?hebu changia mada hii Picha: albino amekatwa mikono yote!!!

No comments:

Followers