Monday, December 15, 2008


Hapa bwana mwanaharakati yuko ndani ya bahari mfu,yaani dead sea!unamuona alivyo jitu la miraba minne ha ha ha!!
Dead sea ni bahari ya chumvi tupu,huwezi ukazama hata kama uko kwenye kina kirefu.Unaelea tu juu ya maji.ni bahari inayoheshimika sana Israel.Ukiwa na mikosi,matatizo n.k.,unamuomba Mungu kabla ya kuingia majini.ni maji yaponyayo.Jaribu hilo utakapokwenda!

No comments:

Followers