Monday, December 15, 2008



Niko na bingwa wa mambo ya ushirika,cooperatives(kibburtz kwa kiyahudi),na mjasiriamali bwana Rafi Goldman wa NEGEV Institute for Strategies of Peace and Development(NISPED) ambako nililamba nondo hapo.Hapa ni kwenye kibburtz chake kinaitwa ORA kibburtz.Wao wanaishi katika vijiji vya ushirika vinaitwa kibburtzism na wanagawana mapato sawa na kugawana mali sawa,kuanzia mkurugenzi wa kampuni mpaka mfyagizi wa ofisi,wote ni mshahara sawa!!

Haya bongo mnaweza hilo?hapana,hamuwezi ndo maana vjiji vya ujamaa vikafa,mpo hapo wanaharakati?!!!!!!!!!!!

b.m.

No comments:

Followers