Monday, December 15, 2008


Niko na mkurugenzi mtendaji wa AVSHALOM Regional Industries katika Beersheva.Ni kampuni inayoundwa na kibburtzsm 12.ni kubwa sana ina export GRAPES ulaya.Revenue yake kwa mwaka ni dola $650m.
Atakuja bongo mtamuona,ila wale wenye uwezo wa kuwa distributors wao hapa Tanzania tuwasiliane.mpooo!!

No comments:

Followers