Tuesday, December 16, 2008

NIKO NA RAFIKI YANGU WA KIYAHUDI

Hapa niko sehemu moja hivi katika mji wa Tel-Aviv ambako kuna dini moja ya kiyuda inayoamini Mungu mmoja na muda wote waumini wa dini ile hupiga ngoma na gitaa mtaani wakimfurahia Mungu kila siku.

No comments:

Followers